Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 17:11-12

Kut 17:11-12 SUV

Ikawa, Musa alipouinua mkono wake, Israeli walishinda; na alipoushusha mkono wake, Amaleki walishinda. Lakini mikono ya Musa ilikuwa mizito; basi wakatwaa jiwe, wakaliweka chini yake akalikalia. Haruni na Huri wakaitegemeza mikono yake, mmoja upande huu na mmoja upande huu; mikono yake ikathibitika hata jua lilipokuchwa.

Soma Kut 17

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 17:11-12