Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 32:9-10

Kumbukumbu la Torati 32:9-10 SRUV

Maana, sehemu ya BWANA ni watu wake, Yakobo ni kura ya urithi wake. Alimkuta katika nchi ya ukame, Na katika jangwa tupu litishalo; Alimzunguka, akamtunza; Akamhifadhi kama mboni ya jicho

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu la Torati 32:9-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha