Kumbukumbu la Sheria 32:9-10
Kumbukumbu la Sheria 32:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
kulingana na idadi ya watoto wa Mungu, lakini alijiwekea watu wa Yakobo kuwa wake, hao alijichagulia kuwa mali yake. Aliwakuta katika nchi ya jangwa, nyika tupu zenye upepo mkali. Aliwalinda na kuwatunza, aliwafanya kama mboni ya jicho lake.
Kumbukumbu la Sheria 32:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana, sehemu ya BWANA ni watu wake, Yakobo ni kura ya urithi wake. Alimkuta katika nchi ya ukame, Na katika jangwa tupu litishalo; Alimzunguka, akamtunza; Akamhifadhi kama mboni ya jicho
Kumbukumbu la Sheria 32:9-10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana, sehemu ya BWANA ni watu wake, Yakobo ni kura ya urithi wake. Alimkuta katika nchi ya ukame, Na katika jangwa tupu litishalo; Alimzunguka, akamtunza; Akamhifadhi kama mboni ya jicho