Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kum 32:9-10

Kum 32:9-10 SUV

Maana, sehemu ya BWANA ni watu wake, Yakobo ni kura ya urithi wake. Alimkuta katika nchi ya ukame, Na katika jangwa tupu litishalo; Alimzunguka, akamtunza; Akamhifadhi kama mboni ya jicho

Soma Kum 32

Video for Kum 32:9-10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kum 32:9-10