Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 12:8-10

Kumbukumbu la Torati 12:8-10 SRUV

Msifanye kwa kufuata mambo yote tuyafanyayo hapa leo, kila mtu kama apendavyo; kwani hamjafikia bado katika raha na urithi akupao BWANA, Mungu wako. Lakini mtakapovuka Yordani na kukaa katika nchi anayowarithisha BWANA, Mungu wenu, akawapeni raha, akiwaokoa na adui zenu pande zote, mkakaa salama