Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 4:34

Danieli 4:34 SRUV

Hata mwisho wa siku hizo, mimi, Nebukadneza, nikainua macho yangu kuelekea mbingu, fahamu zangu zikanirudia; nikamhimidi Yeye aliye juu, nikamsifu na kumheshimu Yeye aishiye milele; kwa maana mamlaka yake ni mamlaka ya milele, na ufalme wake hudumu toka kizazi hata kizazi

Soma Danieli 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 4:34