Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 2:21-22

Danieli 2:21-22 SRUV

Yeye hubadili majira na nyakati; hutengua na kuteua wafalme; huwapa hekima wenye hekima; huwapa wenye ufahamu maarifa; yeye hufunua mambo ya fumbo na ya siri; huyajua yaliyo gizani, na nuru hukaa kwake.

Soma Danieli 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 2:21-22