Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Dan 2:21-22

Dan 2:21-22 SUV

Yeye hubadili majira na nyakati; huuzulu wafalme na kuwamilikisha wafalme; huwapa hekima wenye hekima; huwapa wenye ufahamu maarifa; yeye hufunua mambo ya fumbo na ya siri; huyajua yaliyo gizani, na nuru hukaa kwake.

Soma Dan 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Dan 2:21-22