Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 2:11-12

Wakolosai 2:11-12 SRUV

Katika yeye mmetahiriwa kwa tohara isiyofanyika kwa mikono, kwa kuuvua mwili wa nyama, kwa tohara ya Kristo. Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo; na katika huo mkafufuliwa pamoja naye, kwa kuziamini nguvu za Mungu aliyemfufua katika wafu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 2:11-12