Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kol 2:11-12

Kol 2:11-12 SUV

Katika yeye mmetahiriwa kwa tohara isiyofanyika kwa mikono, kwa kuuvua mwili wa nyama, kwa tohara ya Kristo. Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo; na katika huo mkafufuliwa pamoja naye, kwa kuziamini nguvu za Mungu aliyemfufua katika wafu.

Soma Kol 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kol 2:11-12