Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Amosi 7:14-15

Amosi 7:14-15 SRUV

Ndipo Amosi akajibu akamwambia Amazia, Mimi sikuwa nabii, wala sikuwa mwana wa nabii; bali nilikuwa mchungaji, na mtunza mikuyu; naye BWANA akanitwaa, katika kufuatana na kundi; BWANA akaniambia, Nenda uwatabirie watu wangu Israeli.

Soma Amosi 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Amosi 7:14-15