Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samweli 5:19

2 Samweli 5:19 SRUV

Basi Daudi akauliza kwa BWANA, akisema, Je! Nipande juu ya Wafilisti? Utawatia mkononi mwangu? Naye BWANA akamwambia Daudi, Panda; kwa kuwa hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samweli 5:19