2 Samueli 5:19
2 Samueli 5:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Daudi alimwuliza Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?” Naye Mwenyezi-Mungu akamwambia Daudi, “Nenda, maana hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako.”
Shirikisha
Soma 2 Samueli 52 Samueli 5:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Daudi akauliza kwa BWANA, akisema, Je! Nipande juu ya Wafilisti? Utawatia mkononi mwangu? Naye BWANA akamwambia Daudi, Panda; kwa kuwa hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 5