Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 2:28-29

1 Yohana 2:28-29 SRUV

Na sasa, watoto wadogo, kaeni ndani yake, ili kusudi, atakapofunuliwa, muwe na ujasiri, wala msiaibike mbele zake katika kuja kwake. Kama mkijua ya kuwa yeye ni mwenye haki, jueni ya kuwa kila atendaye haki amezaliwa na yeye.

Soma 1 Yohana 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 2:28-29