Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 2:28-29

1 Yoh 2:28-29 SUV

Na sasa, watoto wadogo, kaeni ndani yake, ili kusudi, atakapofunuliwa, mwe na ujasiri, wala msiaibike mbele zake katika kuja kwake. Kama mkijua ya kuwa yeye ni mwenye haki, jueni ya kuwa kila atendaye haki amezaliwa na yeye.

Soma 1 Yoh 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 2:28-29

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha