Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 5:12-13

1 Wakorintho 5:12-13 SRUV

Maana yanihusu nini kuwahukumu wale walio nje? Ninyi hamwahukumu hao walio ndani? Lakini hao walio nje Mungu atawahukumu. Ninyi mwondoeni yule mbaya miongoni mwenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 5:12-13