Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 6:12-13

Ufu 6:12-13 SUV

Nami nikaona, alipoifungua muhuri ya sita, palikuwa na tetemeko kuu la nchi; jua likawa jeusi kama gunia la singa, mwezi wote ukawa kama damu, na nyota zikaanguka juu ya nchi kama vile mtini upukutishavyo mapooza yake, utikiswapo na upepo mwingi.

Soma Ufu 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 6:12-13