Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 5:1-3

Zab 5:1-3 SUV

Ee BWANA, uyasikilize maneno yangu, Ukuangalie kutafakari kwangu. Uisikie sauti ya kilio changu, Ee Mfalme wangu na Mungu wangu, Kwa maana Wewe ndiwe nikuombaye. BWANA, asubuhi utaisikia sauti yangu, Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.

Soma Zab 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 5:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha