Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 5:1-3

Zaburi 5:1-3 NEN

Ee BWANA, tegea sikio maneno yangu, uangalie kupiga kite kwangu. Sikiliza kilio changu ili unisaidie, Mfalme wangu na Mungu wangu, kwa maana kwako ninaomba. Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee BWANA; asubuhi naleta haja zangu mbele zako, na kusubiri kwa matumaini.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 5:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha