Zab 48:9-10
Zab 48:9-10 SUV
Tumezitafakari fadhili zako, Ee Mungu, Katikati ya hekalu lako. Kama lilivyo jina lako, Ee Mungu, Ndivyo na sifa yako hata miisho ya dunia. Mkono wako wa kuume umejaa haki