Zaburi 48:9-10
Zaburi 48:9-10 NEN
Ee Mungu, hekaluni mwako tunatafakari upendo wako usiokoma. Ee Mungu, kama jina lako lilivyo, sifa zako zinafika hadi miisho ya dunia, mkono wako wa kuume umejazwa na haki.