Zaburi 48:9-10
Zaburi 48:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mungu, twazitafakari fadhili zako, tukiwa hekaluni mwako. Jina lako lasifika kila mahali, sifa zako zaenea popote duniani. Kwa mkono wako umetenda kwa haki
Shirikisha
Soma Zaburi 48Zaburi 48:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tumezitafakari fadhili zako, Ee Mungu, Katikati ya hekalu lako. Kama lilivyo jina lako, Ee Mungu, Ndivyo na sifa yako hadi miisho ya dunia. Mkono wako wa kulia umejaa haki
Shirikisha
Soma Zaburi 48