Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 37:3-5

Zab 37:3-5 SUV

Umtumaini BWANA ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu. Nawe utajifurahisha kwa BWANA, Naye atakupa haja za moyo wako. Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya.

Picha za Aya za Zab 37:3-5

Zab 37:3-5 - Umtumaini BWANA ukatende mema,
Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.
Nawe utajifurahisha kwa BWANA,
Naye atakupa haja za moyo wako.
Umkabidhi BWANA njia yako,
Pia umtumaini, naye atafanya.Zab 37:3-5 - Umtumaini BWANA ukatende mema,
Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.
Nawe utajifurahisha kwa BWANA,
Naye atakupa haja za moyo wako.
Umkabidhi BWANA njia yako,
Pia umtumaini, naye atafanya.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 37:3-5