Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 25:15-18

Zab 25:15-18 SUV

Macho yangu humwelekea BWANA daima, Naye atanitoa miguu yangu katika wavu. Uniangalie na kunifadhili, Maana mimi ni mkiwa na mteswa. Katika shida za moyo wangu unifanyie nafasi, Na kunitoa katika dhiki zangu. Utazame teso langu na taabu yangu; Unisamehe dhambi zangu zote.

Soma Zab 25

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 25:15-18