Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 16:7-9

Zab 16:7-9 SUV

Nitamhimidi BWANA aliyenipa shauri, Naam, mtima wangu umenifundisha usiku. Nimemweka BWANA mbele yangu daima, Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa. Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, Nao utukufu wangu unashangilia, Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.

Soma Zab 16

Verse Images for Zab 16:7-9

Zab 16:7-9 - Nitamhimidi BWANA aliyenipa shauri,
Naam, mtima wangu umenifundisha usiku.
Nimemweka BWANA mbele yangu daima,
Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa.
Kwa hiyo moyo wangu unafurahi,
Nao utukufu wangu unashangilia,
Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.Zab 16:7-9 - Nitamhimidi BWANA aliyenipa shauri,
Naam, mtima wangu umenifundisha usiku.
Nimemweka BWANA mbele yangu daima,
Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa.
Kwa hiyo moyo wangu unafurahi,
Nao utukufu wangu unashangilia,
Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 16:7-9