Zab 145:8-9
Zab 145:8-9 SUV
BWANA ana fadhili, ni mwingi wa huruma, Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema, BWANA ni mwema kwa watu wote, Na rehema zake zi juu ya kazi zake zote.