Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 145:8-9

Zaburi 145:8-9 NEN

BWANA ni mwenye neema na mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo. BWANA ni mwema kwa wote, ana huruma kwa vyote alivyovifanya.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 145:8-9