Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 130:5-6

Zab 130:5-6 SUV

Nimemngoja BWANA, roho yangu imengoja, Na neno lake nimelitumainia. Nafsi yangu inamngoja Bwana, Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi, Naam, walinzi waingojao asubuhi.

Soma Zab 130

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 130:5-6