Zaburi 130:5-6
Zaburi 130:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Namtumainia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wangu wote; nina imani sana na neno lake. Ninamtumainia Mwenyezi-Mungu kuliko walinzi wanavyongojea pambazuko; kuliko walinzi wanavyongojea kuche asubuhi.
Shirikisha
Soma Zaburi 130Zaburi 130:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimemngoja BWANA, roho yangu imengoja, Na neno lake nimelitumainia. Nafsi yangu inamngoja Bwana, Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi, Naam, walinzi waingojao asubuhi.
Shirikisha
Soma Zaburi 130Zaburi 130:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nimemngoja BWANA, roho yangu imengoja, Na neno lake nimelitumainia. Nafsi yangu inamngoja Bwana, Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi, Naam, walinzi waingojao asubuhi.
Shirikisha
Soma Zaburi 130