Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 16:3-5

Mit 16:3-5 SUV

Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika. BWANA amefanya kila kitu kwa kusudi lake; Naam, hata wabaya kwa siku ya ubaya. Kila mwenye moyo wa kiburi ni chukizo kwa BWANA; Hakika, hatakosa adhabu.

Picha za Aya za Mit 16:3-5

Mit 16:3-5 - Mkabidhi BWANA kazi zako,
Na mawazo yako yatathibitika.
BWANA amefanya kila kitu kwa kusudi lake;
Naam, hata wabaya kwa siku ya ubaya.
Kila mwenye moyo wa kiburi ni chukizo kwa BWANA;
Hakika, hatakosa adhabu.Mit 16:3-5 - Mkabidhi BWANA kazi zako,

Hakika, hatakosa adhabu.