Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 15:1-4

Mit 15:1-4 SUV

Jawabu la upole hugeuza hasira; Bali neno liumizalo huchochea ghadhabu. Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri; Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu. Macho ya BWANA yako kila mahali; Yakimchunguza mbaya na mwema. Ulimi safi ni mti wa uzima; Bali ukorofi wa ulimi huvunja moyo.

Soma Mit 15

Verse Images for Mit 15:1-4

Mit 15:1-4 - Jawabu la upole hugeuza hasira;
Bali neno liumizalo huchochea ghadhabu.
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri;
Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu.
Macho ya BWANA yako kila mahali;
Yakimchunguza mbaya na mwema.
Ulimi safi ni mti wa uzima;
Bali ukorofi wa ulimi huvunja moyo.Mit 15:1-4 - Jawabu la upole hugeuza hasira;

Bali ukorofi wa ulimi huvunja moyo.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha