Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 12:11-14

Mit 12:11-14 SUV

Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele; Bali afuataye mambo ya upuzi hana ufahamu. Asiye haki hutamani nyavu za wabaya; Bali shina lao wenye haki huleta matunda. Katika kosa la midomo kuna mtego kwa mbaya; Bali mwenye haki atatoka katika taabu. Mtu atashiba mema kwa matunda ya kinywa chake; Na atarudishiwa matendo ya mikono yake.

Soma Mit 12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha