Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 12:11-14

Mithali 12:11-14 NEN

Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili. Waovu hutamani mateka ya watu wabaya, bali shina la mwenye haki hustawi. Mtu mwovu hunaswa kwa mazungumzo yake ya dhambi, bali mwenye haki huepuka taabu. Kutokana na tunda la midomo yake mtu hujazwa na mambo mema, hakika kama ilivyo kazi ya mikono yake humtunza.