Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 19:28-29

Mt 19:28-29 SUV

Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli. Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.

Soma Mt 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 19:28-29