Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 13:18-21

Lk 13:18-21 SUV

Kisha alisema, Ufalme wa Mungu umefanana na nini? Nami niufananishe na nini? Umefanana na punje ya haradali aliyotwaa mtu akaitupa katika shamba lake; ikamea, ikawa mti; ndege wa angani wakakaa katika matawi yake. Akasema mara ya pili, Niufananishe na nini ufalme wa Mungu? Umefanana na chachu aliyotwaa mwanamke akaisitiri ndani ya pishi tatu za unga, hata ukachacha wote pia.

Soma Lk 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 13:18-21