Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoe 3:15-16

Yoe 3:15-16 SUV

Jua na mwezi vimetiwa giza, na nyota zimeacha kuangaza. Naye BWANA atanguruma toka Sayuni, atatoa sauti yake toka Yerusalemu; na mbingu na nchi zitatetemeka; lakini BWANA atakuwa kimbilio la watu wake, na ngome ya wana wa Israeli.

Soma Yoe 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yoe 3:15-16