Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoeli 3:15-16

Yoeli 3:15-16 NEN

Jua na mwezi vitatiwa giza, na nyota hazitatoa mwanga wake tena. BWANA atanguruma kutoka Sayuni na mshindo wa ngurumo kutoka Yerusalemu; dunia na mbingu vitatikisika. Lakini BWANA atakuwa kimbilio la watu wake, ngome imara kwa ajili ya watu wa Israeli.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yoeli 3:15-16