Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 39:17-18

Yer 39:17-18 SUV

Lakini nitakuokoa wewe katika siku hiyo, asema BWANA; wala hutatiwa katika mikono ya watu wale unaowaogopa. Kwa maana ni yakini, nitakuokoa, wala hutaanguka kwa upanga, lakini nafsi yako itakuwa kama nyara kwako; kwa kuwa ulinitumaini mimi, asema BWANA.

Soma Yer 39