Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 39:17-18

Yeremia 39:17-18 BHN

Lakini siku hiyo mimi nitakuokoa wewe, wala hutatiwa mikononi mwa watu unaowaogopa. Maana, kweli nitakuokoa na hutauawa vitani; utapata faida ya kuokoa maisha yako kwa sababu umeniamini mimi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Soma Yeremia 39