Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 26:12-13

Mwa 26:12-13 SUV

Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, akapata mwaka ule vipimo mia kwa kimoja, BWANA akambariki. Na mtu huyu akawa mkuu, akazidi kusitawi, hata akawa mkuu sana.

Soma Mwa 26

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 26:12-13