Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 26:12-13

Mwanzo 26:12-13 NEN

Isaki akapanda mazao katika nchi hiyo, kwa mwaka huo huo, akavuna mara mia, kwa sababu BWANA alimbariki. Isaki akawa tajiri, mali zake zikaendelea kuongezeka mpaka akawa tajiri sana.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 26:12-13