Mwanzo 26:12-13
Mwanzo 26:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwaka huo Isaka alipanda mbegu katika nchi ile, akavuna mara mia zaidi, maana Mwenyezi-Mungu alimbariki, naye akatajirika. Alizidi kupata mali hadi akawa tajiri sana.
Shirikisha
Soma Mwanzo 26Mwanzo 26:12-13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, akapata mwaka ule vipimo mia kwa kimoja, BWANA akambariki. Na mtu huyu akawa mkuu, akazidi kusitawi, hata akawa mkuu sana.
Shirikisha
Soma Mwanzo 26