Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 11:10-11

Mwa 11:10-11 SUV

Hivi ndivyo vizazi vya Shemu; Shemu alikuwa mtu wa miaka mia akamzaa Arfaksadi miaka miwili baada ya gharika. Shemu akaishi baada ya kumzaa Arfaksadi miaka mia tano, akazaa wana, waume na wake.