Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 11:10-11

Mwanzo 11:10-11 NEN

Hivi ndivyo vizazi vya Shemu. Miaka miwili baada ya gharika, Shemu alipokuwa na miaka 100, akamzaa Arfaksadi. Baada ya kumzaa Arfaksadi, Shemu aliishi miaka 500, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.