Mwanzo 11:10-11
Mwanzo 11:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Wafuatao ni wazawa wa Shemu. Miaka miwili baada ya ile gharika, Shemu akiwa na umri wa miaka 100, alimzaa Arfaksadi. Baada ya kumzaa Arfaksadi, Shemu aliishi miaka 500 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.
Shirikisha
Soma Mwanzo 11Mwanzo 11:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hivi ndivyo vizazi vya Shemu; Shemu alikuwa mtu wa miaka mia moja akamzaa Arfaksadi miaka miwili baada ya gharika. Shemu akaishi baada ya kumzaa Arfaksadi miaka mia tano, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Shirikisha
Soma Mwanzo 11