Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 15:2-3

Kut 15:2-3 SUV

BWANA ni nguvu zangu, na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu. Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu; Ni Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza. BWANA ni mtu wa vita, BWANA ndilo jina lake.

Soma Kut 15

Video for Kut 15:2-3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 15:2-3