Kutoka 15:2-3
Kutoka 15:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA ni nguvu zangu, na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu. Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu; Ni Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza. BWANA ni mtu wa vita, BWANA ndilo jina lake.
Shirikisha
Soma Kutoka 15Kutoka 15:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu hunijalia nguvu na uwezo, yeye mwenyewe ndiye anayeniokoa. Yeye ni Mungu wangu nami nitamsifu, ni Mungu wa baba yangu nami nitamtukuza. Mwenyezi-Mungu ni shujaa vitani; Mwenyezi-Mungu ndilo jina lake.
Shirikisha
Soma Kutoka 15