Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 15:2-3

Kutoka 15:2-3 NEN

BWANA ni nguvu zangu na wimbo wangu; amekuwa wokovu wangu. Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu, Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza. BWANA ni shujaa wa vita; BWANA ndilo jina lake.

Video for Kutoka 15:2-3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 15:2-3