Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kum 12:8-10

Kum 12:8-10 SUV

Msifanye kwa kufuata mambo yote tuyafanyayo hapa leo, kila mtu kama aonavyo vema machoni pake; kwani hamjafikilia bado katika raha na urithi akupao BWANA, Mungu wako. Lakini mtakapovuka Yordani na kukaa katika nchi anayowarithisha BWANA, Mungu wenu, akawapeni raha, akiwaokoa na adui zenu pande zote, mkakaa salama

Soma Kum 12