Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Fal 22:1-2

2 Fal 22:1-2 SUV

Yosia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala; akatawala miaka thelathini na mmoja katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Yedida, binti Adaya wa Bozkathi. Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, akaenda katika njia yote ya Daudi baba yake, wala hakugeuka upande wa kuume wala wa kushoto.

Soma 2 Fal 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Fal 22:1-2